ASSOCIATIONS
PARTNERS
Jisajili kupokea majarida ya habari
Tunaahidi hatutakutumia taka, tutakutumia tu taarifa muhimu zinazohusu sekta hii na/au bidhaa zetu.
Teknolojia
Miji janja ni matokeo ya mahitaji ya binadamu kutaka kuwasiliana na kutembea.
Kuanzia kwenye taa za barabarani mpaka usimamiaji wa msongamano wa magari
mapendekezo ya maeneo katika mifumo ya GPS katika gari, akili bandia imeunganisha intaneti ya mambo na kutengeneza ushirikiano ambao haujawahi kuonekana kabla, kuunganisha sehemu tofauti zinazofanya mji uwe hai. Manunuzi, kazi, starehe, kila kitu kimeunganishwa kwa namna inayokidhi mahitaji ya kila mtu.
Nishati mbadala inahusika katika kubadilisha mazingira mapya.
Tunaelekea katika mji wa aina ya tofauti hivyo ni matokeo yake kutakuwa na maisha ya aina tofauti katika ulimwengu huu uliounganishwa. Majengo yanazalisha umeme wake na yamebuniwa kutumia rasilimali kidogo na kuhudumia kwa ubora. Ufanyaji kazi, ubunifu na matumizi binafsi ya nishati hivi sasa ni misingi ya miji mipya.
Nishati itokanayo na betri za miale ya jua ni moja ya vitu vinavyoendesha miji janja.
Kwa sababu chanzo cha nguvu yake hakina mwisho, haichafui mazingira, na ni mbadala, inaweza kuwasha taa za umma, kukidhi mahitaji ya umeme kiwandani katika maeneo ya nje ya mji au hata kati ya mji, na majumbani. Ukuaji wa teknolojia hii uko pale pale kwa sababu paneli za sola zinazidi kukubalika na kutumika zaidi na zaidi katika maeneo ya mjini na kutumika kama sehemu za kujengea majengo, kama mapaa ya darini au sehemu ya sakafu za majengo. Kwa uwepo wa muunganiko wa IOT, ufanyaji kazi wa mifumo na usambazaji wa rasilimali katika majengo janja unaweza kupimwa.
ASSOCIATIONS
PARTNERS
Jisajili kupokea majarida ya habari
Tunaahidi hatutakutumia taka, tutakutumia tu taarifa muhimu zinazohusu sekta hii na/au bidhaa zetu.
© 2021 | Sera ya Faragha | Sera ya Cookie
Página web desarrollada por EasyMode Marketing
This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Strictly Necessary Cookie should be enabled at all times so that we can save your preferences for cookie settings.
If you disable this cookie, we will not be able to save your preferences. This means that every time you visit this website you will need to enable or disable cookies again.
More information about our Cookie Policy